Wachezaji na mlinda mlango wa The Kilimanjaro Ff ya Sweden wenye jezi za blue wakiwa makini kuwadhibiti wachezaji wa Lille kutoka Ufaransa katika nusu fainali ambapo The Kilimanjaro Fc walifanikiwa kuwafunga
Beki wa timu ya Kilimanjaro Ff akiokoa moja ya hatari kutoka golini kwake,Kilimanjaro Ff kutoka Sweedn ndio timu iliyofanikiwa kutwaa kombe hapo jana baada ya kuifunga Leeds kutoka nchini Uingereza.
Matukio na picha zaidi za Bonanza nitawaletea baadae..

0 Comments