Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI, Dkt. Festo Dugange na Rais naOfisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Japan Tobacco Group (JT Group), Masamichi Terabatake (kulia) wakitia saini mkataba kati ya Ofisi ya Rais TAMISEMI na Kampuni ya Tumbaku ya Japan (JT Group) utakaoiwezesha kampuni hiyo kuendelea kutoa huduma za kijamii katika maeneo inayonunua tumbaku nchini. Utiaji saini huo ulifanyika kwenye ukumbi wa Ofisi Ndogo ya Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es salaam, Septemba 11, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI, Dkt. Festo Dugange na Rais na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Japan Tobacco Group (JT Group), Masamichi Terabatake (kulia) wakionesha nyaraka baada ya kutia saini mkataba kati ya Ofisi ya Rais TAMISEMI na Kampuni ya Tumbaku ya Japan (JT Group) utakaoiwezesha kampuni hiyo kuendelea kutoa huduma za kijamii katika maeneo inayonunua tumbaku nchini. Utiaji saini huo ulifanyika kwenye ukumbi wa Ofisi Ndogo ya Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es salaam, Septemba 11, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi zawadi ya picha Rais na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Tumbaku ya Japan Tobacco Group (JT Group), Masamichi Terabatake , baada ya kushuhudia utiaji saini mkataba kati ya Ofisi ya Rais TAMISEMI na Kampuni ya Tumbaku ya Japan (JT Group) utakaoiwezesha kampuni hiyo kuendelea kutoa huduma za kijamii katika maeneo inayonunua tumbaku nchini. Utiaji saini huo ulifanyika kwenye ukumbi wa Ofisi Ndogo ya Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es salaam, Septemba 11, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na viongozi baada ya kushuhudia utiaji saini mkataba kati ya Ofisi ya Rais TAMISEMI na Kampuni ya Tumbaku ya Japan (JT Group) utakaoiwezesha kampuni hiyo kuendelea kutoa huduma za kijamii katika maeneo inayonunua tumbaku nchini. Utiaji saini huo ulifanyika kwenye ukumbi wa Ofisi Ndogo ya Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es salaam, September 11, 2023. Kutoka kushoto ni Naibu Katibu Mkuu TAMISEMI (Afya), Dkt. Wilson Charles, Balozi wa Japan nchini, Yusushi Misawa, Rais na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya JT Group, Masamichi Terabatake na kulia ni Naibu Waziri TAMISEMI, Dkt. Festo Dugange. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
0 Comments