Spika wa Bunge Dk. Tulia Ackson akimfariji mjane wa marehemu Dk. Faustine Ndugulile, Dk. Magdalena Lyimo nyumbani kwake Kigamboni leo Novemba 29.

DAR ES SALAAM – Spika wa Bunge na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Dk. Tulia Ackson, amesaini kitabu cha Maombolezo na kukimfariji mjane wa marehemu Dk. Faustine Ndugulile, Dk. Magdalena Lyimo na Mama mzazi wa marehemu, Bi. Martha Ndugulile wakati alipofika nyumbani kwa marehemu Kigamboni, Jijini Dar es salaam leo Novemba 29.

Dk. Ndugulile alifariki dunia Novemba 27 nchini India alipokuwa akipatiwa matibabu.

 

ADVERTISEMENT

Spika wa Bunge na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Dk. Tulia Ackson, akimfariji Mama mzazi wa marehemu Dk. Faustine Ndugulile, Bi. Martha Ndugulile wakati alipofika nyumbani kwa marehemu Kigamboni, Jijini Dar es salaam leo Novemba 29.
SPIKA WA BUNGE NA RAIS WA UMOJA WA MABUNGE DUNIANI (IPU), DK. TULIA ACKSON, AKIMFARIJI MAMA MZAZI WA MAREHEMU DK. FAUSTINE NDUGULILE, BI. MARTHA NDUGULILE WAKATI ALIPOFIKA NYUMBANI KWA MAREHEMU KIGAMBONI, JIJINI DAR ES SALAAM LEO NOVEMBA 29.

 

SPIKA WA BUNGE NA RAIS WA UMOJA WA MABUNGE DUNIANI (IPU), DK. TULIA ACKSON, BAADA YA KUSAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO YA KIFO CHA ALIYEKUWA MBUNGE WA JIMBO LA KIGAMBONI NA MKURUGENZI MTEULE WA SHIRIKA LA AFYA DUNIANI (WHO) KANDA YA AFRIKA, DK. FAUSTINE NDUGULILE NYUMBANI KWAKE KIGAMBONI JIJINI DAR ES SALAAM LEO NOVEMBA 29, 2024.