Kampuni ya Ndege ya Air Tanzania (ATCL) ni Kampuni ya Umma inayomilikiwa kwa asilimia 100 na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, iliyosajiliwa chini ya Sheria ya Makampuni (Sura 212) ya mwaka 2002, kufuatia kuvunjwa kwa iliyokuwa Air Tanzania Corporation (ATC).

Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 17 Juni, 2025.

BONYEZA HAPA >>>NAFASI ZA KAZI SHIRIKA LA NDEGE TANZANIA (ATCL)