Timu ya Taifa la Argentina leo imeendeleza ubabe wake dhidi ya Timu ya Taifa la Austria baada ya kuwachapa mabao 2-0 huku mabao yote yakiwekwa nyavuni na mshambuliaji wao pendwa Lione Messi.

Matokeo ya Awali hapo jana ni kama ifuatavyo..

Ft :Ecuador 0 Curacao 0

Ft: Tunisia 0 Japan 4

Ft: Spain 4 Saudi Arabia 0

Ft:Belgium 0 Iran 0


LEO tarehe 22.06.2026 Matokeo mpaka sasa ni kama ifuatavyo:

Ft:Uruguay 2 Cape Verde 2

Ft: New Zealand 1 Egypt 3

Ft:Argentina 2 Austria 0

Matokeo ya France na Iraq tutawaletea hapo baadae mechi ikishamalizika.

Norway vs Senegal

Jordan vs Algeria