Timu kapteni wa timu ya taifa la Argentina Lionel Messi akikumbatiana kwa furaha na Lautaro MartÃnez baada ya ushindi wa goli 3-2 dhidi ya timu ya taifa ya Misri.
Yasser Ibrahim’s akiwekwa mpira nyavuni kwa njia ya kichwaa na kuifanya Misri kuongoza mpaka kipindi cha kwanza cha mchezo.
0 Comments