Cristiano Ronaldo wa Portugal akishika kichwa chake kwa masikitiko makubwa huku mchezaji wa Spain akishangilia kwa furaha.Tarehe 06.mwezi wa 7 mwaka 2026 utakuwa mwaka wa kukumbukwa kwa Taifa la Ureno baada ya kuaga mashindano bila matarajio yao dhidi timu ya taifa ya Uispania baada ya kuruhusu goli dakika ya 90 ya mchezo.
Mikel Merino wa timu ya Taifa ya Spain akiifungia timu yake ya taifa na kufanikiwa kuingia robo fainal ya kombe la dunia 2026.
Merino wa Uispania akishangilia goli pekee lililoipeleka timu ya taifa lake robo fainali ya kombe la dunia 2026
0 Comments