Timu ya Inter Milan imefanikiwa kuibamiza timu ya Tp Mazemba goli 3-0 katika fainali zilizofanyika Abu Dhabi leo hii.