Mashine hii automatical,unanua soda kwa kuingiza sarafu na kubonyeza kitufe cha soda unayoitaka,kama Fanta,Sprite na hata maji ya kunywa na kama umeweka sarafu yenye kiwango kikubwa mashine inarudisha chenji.Hii ni kuwajulisha wale wanakijiji wenzangu wa kule Nzegaaaa!!!