Raisi Jakaya Kikwete akionyesha furaha baaada ya kumuapisha Jaji mkuu mpya wa Serikali bwana Othmani Chande kushoto,huku jaji wa zamani aliyestaafu bwana Agustino Ramadhani wakitoka Ikulu kuelekea Ofisi zao za kazi.