Wale wachezaji wenye uzoefu na wenye kumfurahisha kocha wao Sir Alex Farguson jana wameonyesha kazi nzuri baada ya kuitungua timu ya Arsenal kwa goli 1-0.Pichani mfungaji wa goli hilo J.S.Park kushoto akishangilia bao lake na Patrik Evra.