Kuna watu wa kuwachezea,kwa mfano babu au bibi hao chezea nao mpaka uchoke ila hawaa jamaa kwenye hiyo Landrover kama unataka kupelekwa kitengo cha mifupa(moi) basi ingia mitaa ya hawa jamaa,wanafahamika kwa jina la FFU nafikiri vijana wa mjini wana tafsiri yao maalumu,ila mimi nijuavyo tafsiri yake ni FIELD FORCE UKONGA.