Shadrack Nsajigwa akiandikia TANZANIA bao la kwanza kwa njia ya penati,na hiki kilikuwa ni kipindi cha kwanza.Sasa ni kipindi cha pili na Mtanange unaendelea 1-0 yani TANZANIA 1 NA IVORY COAST O wanawane.