Kampuni ya usafirishaji ya uerostar inayofanya safari zake Brussels na London imewatangazia abiria wake kuwa kutakuwa na usumbufu wa uchelewaji wa treni zao kutokana na hali mbaya ya hewa.Wametangazia umma kuwa muda wa kuwachelewesha ni kati ya masaa mawili mpaka matatu kwani kuna barafu nyingi sana inaendelea kuanguka.
Treni iendayo kasi sana ya shirika la Eurostar,imetangaza kuwa safari zake zitakuwa na usumbufu kidogo.