Wageni toka nchi mbalimbali walikuwa wakija kutupongeza na kufuarahi pamoja.
Ilikuwa full shangwe kwani walijua nini maana ya Uhuru.