Ajali zingine unaweza kujiuliza na kukosa jibu!! Ebu cheki hii Fuso ilivyogeuzwa na gari ndogo.Ajali hii ilitoke mbele ya nyumba ya muheshimiwa raisi wetu,mpenda na mpendwa na watu J.Kikwete.
(picha na baba Saisar`Pasua kichwa`,Ilala Dar.).