Wa Nzega wenzangu hii nayo ni mashine ya kuuza mikate,kama kawaida unaingiza sarafu na kuchagua mkate unaoutaka,kama ni mkate wa brown au mkate white unachagua au kama mkate uliokatwa kabisa(slice)au ule husiokatwa yani ni pesa yako tu.Wajameni haya ni mambo tu ya wenzetu,na hii ni kwa Wote wa kule kijijini kwetu nilikozaliwa.