Jamani hii katika tembeatembea zangu mitaani nikakutana na hii moja ya nyumba ilivyofanyia mbwembwe kati uonekanaji wake kwa nje.Ebu jionee nawe kwani unaweza kusema nyumba inaanguka ila ipo fresh kabisaa na wala dalili za kuanguka hakuna.