Ni ukweli usiopingika kwamba wakimbizi tuliona ni wengi na baadhi ya wakimbizi hawana makazi ya kukaa."Tunajitahidi kadri itakavyowezekana ili kuwapatia hifadhi wakimbizi wote ambao hawana sehemu za kulala ukizingatia hali ya baridi ni kali sana" a kizungumza kwa hisia kali ya kuguswa na hali hiyo waziri mkuu bwana Yves Leterme wa chama cha (FCD)aliendelea kusema kwamba hali kama hii ilijitokeza hata mwaka jana na kusema kwamba wamejifunza kutokana na makosa hayo."Tumejenga sehemu za ziada na vitanda vipo tayari kwa wakazi hao,hivyo hivi karibuni tunategemea kuwaweka wakimbizi hao.