Hapo nimeshafika stesheni na wenyeji wangu wapo tayari wameshafika kutusubiri,ndugu zangu nilipokelewa kwa shangwe na nderemo nilijihisi nipo Nzega.
Kufika tu eeeh!!!siongei mengi jamani,mnaona kwenye sahani vilikuwa vingapi?sikujiharibia.....
Hesabuni jamani naona geji inashuka tu...jamani haya mambo ni adimu sana kwangu,na nikikutana navyo huwa sijiharibii kabisaa wallah..
Kudadadeki yani niliomba vya jikoni kwa jinsi nilivyokuwa najimwayamwaya...Nilikuwa mpaka basii.