Ebu ona jinsi mama na mwana walivyojificha pembezoni mwa gari kwa kuhofia kuuwawa na polisi nchini Africa ya Kusini,Kipindi hiki ilikuwa yale mambo ya ubaguzi wa rangi nchini humo.