Kwa mdau yoyote mwenye kujua vizuri mambo ya magari,kuna mmoja wa wadau wa Blog hii amejitokeza kuomba msaada kama kuna uwezekano wa yeye kupata gari aina kama hii pichani,iwe C-Class 180 Compressor.Bei isizidi Dolla 4000.mwenye taarifa ua uwezekano wa kuipata na kumtumia muhusika awasiliane na magangaone@gmail.com,atapenda kama gari itatokea Uk au Japan.