Ebu angalia jinsi hawa watoto walivyojiziba macho yao kwa viganja vya mikono yao kwa tukio la aibu kwao.Je nani mwenye maadili mema kwa mtoto kwa jinsi unavyoiona hii picha?Ni mzazi anayefanya vituko mbele ya watoto au ni watoto waliofundishwa vyema na wazazi hao?naoba jibu lenu wadau wangu..