Kwa jinsi alivyoyatoa macho aah!! Mtoto akiwa analia au hataki kula dawa si kumchapa,muitie Kingwendu tu mtoto wako atakula,ataacha kulia na atalala bila kupenda.Ni msanii anayevutia wengi sana anapokuwa kwenye Luninga anapatikana pande za jiji la Dar es Salaam al-maarufu kwa jina la KINGWENDU.