Baada ya kutafutana kwa siku nyingi na kutambiana kila mmoja kwamba yeye ni mbabe zaidi ya mwezie,hatimaye tarehe ya mpambano wao imefahamika rasmi baada ya kusaini mkataba wa pambano hilo litakalofanyika tarehe 2 Julai.Pichani kushoto ni bondia Wladimir Klitschko ambaye ni bingwa wa dunia WBO,IBF na IBO katika uzito wa juu duniani wakipata picha ya pamoja na atakayekuwa mpinzani wake siku ya tarehe 2 julai David Haye.