Nikiita Mkeka nakuwa nakosea..kwanini nakosea?Wenye kujua tofauti ya Mkeka na Jamvi wapo?Pichani kijana wa Kibongo akiwa mitaani jijini Dar es Salaam akijitafutia riziki kwa kuuza majamvi.Wajua jamvi moja bei yake?kama hujui kazi unayo.