Mwanadada anayetamba hivi sasa katika BongoFlava na sauti yake tamu yenye mvuto akisema kuwa mziki wa sasa unapendwa sana kutokana na nyimbo za mapenzi tunazoimba."Yani hata leo hii ukitaka nitunge nyimbo ya haraka na ipendwe nitatunga nyimbo ya mapenzi"Alinena hayo bidada Mwasiti Alimasi.