Amiri wa Baraza Kuu la Jumuiya na Taasisi za Kiislamu, Mussa Kundecha (kushoto), akijadiliana jambo na Mjumbe wa Umoja wa Wanazuoni wa Kiislamu Tanzania, Shehe Ally Bassaleh, wakati wa kutoa tamko la waumini wa dini hiyo, Dar es Salaam jana kuhusu mauaji ya watu watatu katika ghasia za kisiasa zilizotokea Arusha hivi karibuni.