Kuna baadhi ya sehemu kwenye miji mikubwa duniani usafiri huu hutumiwa sana katika uchukuzi wa bidhaa na mizogo aina mbalimbali,Ukiwa jijini Nairobi wana jina lao wanalotumia kuiita hiki kifaa,Ukiwa jijini Dar es Salaam wanita Mkokoteni,ila kwa kule kwetu kijijini Nzega huwa tunayaita Makwama/Kwama.Pichani juu na chini hizi picha zilipigwa jijini Nairobi nchini Kenya.
Mmmoja wa mmiliki wa Kwama hilo akilivuta kwama lake kuelekea mahala ambapo anapopaki kila siku jijini Nairobi nchini Kenya.