Wakati kiongozi mkubwa wa nchi ya Tanzania  alipotembelea nchini Marekani alishangazwa sana pale alipoona jengo moja halina umeme!!Alipohoji wenyeji mambo yalikuwa kama ifuatavyo.

 Kiongozi;Ooops what is that?

Wenyeji; What?

Kiongozi;I saw a bulding with no power,I thought there's no Mgao in America!!

Wenyeji;Don't Punic Muheshimiwa,That House its Tanzania Embassy..

Kiongozi wetu; Ooooh,Okey Yaishe basi.

Duuh mambo ya mgao mpaka balozi zetu nje ya nchi?!!!!.

                        Mdau namba 1 wa Blog,Sleyyum S.Sleyyum"Pasua kichwa" (Ilala Dar).