Mwendo kasi,Ulevi na Kusikiliza music kwa sauti kubwa,Kuongea na simu wakati unaendesha chombo cha moto,Kuendesha bila ya kuwa na kibali(leseni)Kutaka sifa ukiwa na watu ndani ya gari kuonyesha wewe ndiye dereva wa madereva,haya ni baadhi yanayosababisha kama ujioneavyo pichani.Samahani sana kwa yoyote ambaye atakuwa ameshtushwa na hii picha.Onyo kwa yoyote mwenye kuona kama amepatwa na mshtuko asijaribu kumuonyesha mwingine mwenye mshtuko wa moyo,nimetoa hii kama somo kwa madereva wenzangu duniani.mwenye maoni au ushauri goga hapo chini kwenye kisanduku cha comments.Ahsanteni