Siku ya sikukuu huwa ni siku ya furaha,Pichani Katibu mkuu wa CCM Mh,Yusuph Makamba akikteta jambo fulani na mwenyekiti wa chama cha upinzani Cuf bwana Ibrahimu Lipumba,Hii ni 12/1/2011 siku ya Mapinduzi Zanzibar.