Nikiongelea neno Model kwa wapenzi wa mambo ya pichani nadhani watakuwa wakinielewa vyema kabisaa.ukweli wa shughuli hii ni ngumu sana kwenye masuala ya kula,kama kweli unapenda ukubalike kwenye u'model fanya kazi ya ziada kwenye kujibana kula sana.Pichani mdada anayekubalika katika mambo hayoo.