Uasafi wa jiji letu ni jukumu letu wenyewe.Pichani wafanyakazi wa manispaa ya jiji la Dar es salaam wakizibua mitaro ya mifereji ya maji taka pembezoni mwa barabara ya Msimbazi.