Pichani Wema Sepetu kushoto akiwa na H baba siku za nyuma.
 Inasemekana Mzee wa Mbagala"DIAMOND" amekamata usukani kwa Bidada Wema Sepetu kwenye mambo ya malavidavi.
Bidada Wema Sepetu akila pozi fulani kupata U'Flash,Je ni kweli Wema Sepetu kawachanganya H baba na Diamond?Ze One hatuna uhakika je mwenye kurasa za uhakika anazo tuzipekue?