Moja ya matangazo yaliyonivutia jana usiku nilipokuwa natembea huku na kule,hii ni kampuni moja kubwa sana nchini Belgium inayoshughulikia masuala ya Internate na simu za ndani.Unaweza kuona ni pambo kumbe wenzetu ni matangazo.