Raisi wa Colombia bwana Juan Manuel Santos jana jumamosi ametangaz kuwa Jeshi lake limewauwa watu wapatao 15 kwa kile alichoita kuiasi serikali yake.Amesema kuwa wiki chache zilizopita waasi hao waliwauwa wanajeshi wapatao wanne kwa kitendo cha kuleta vurugu makusudi.Raisi Juani ameendelea kusema ameanzisha operation maalumu ya kuwaksa waasi hao.
 Wakati huohuo raisi wa nchini humo (Colombian President )bwana Juan Manuel Santos amewatangazia hali ya hatari wananchi wake kutokana na mvua kubwa zinazonyesha nchini humo.amewataka wananchi wake kuwa makini sana na hali hiyo ambayo inahatarisha maisha ya kila raia.