Sio tu nchini  utakutana na hali hii,kila kona ya bara la Africa utakutana na watoto wenye mizigo mikubwa kushinda umri wao vichwani na hii inafanya kudumaza miili yao kwa kulazimisha kubeba mizigo mizito.