Likiwa katika hatua za mwishomwisho kabla ya kufungulia jumba hili jipya litakuwa ni la makumbusho ya kiistoria juu ya Bandari nchini Belgium na mahusiano mengine mengi yanayohusu nchi ya Belgium.Jumba hili lipo jijini Antwerpen ni mji wa pili kwa ukubwa nchini Belgium.
Picha hii imechukuliwa kwa mbali na hali ya hewa ilikuwa ya ubaridi kiasi fulani na kufanya Camera kutopata taswira timilifu,Watalii wakiingia hapo watapewa habari zozote zinazohusiana na mji huu wa Antwerpen na Bandari yake.