Dogo kulia ananikumbusha mdogo wangu enzi hizoo,kama anaona unataka kumfungwa(kushindwa katika mchezo) basi uanzisha utaratibu mpya wa kulitibua Game,pichani jionee dogo kulia jinsi anavyotunga plan B ya kuvunja game.Utoto kazi kwelikweli.