Kauli ya mwanzo ndio uchukuliwa na kufanyiwa kazi.Watu mpaka leo wanaendelea kukata miti tu,hali hii inatusababishia ukame usiokwisha na kuleta hali ya hewa ya joto kali nchini kwa kuendelea kukata miti hovyo.Idara ya Maliasili sijui inashughulika na nini?