Ni mkoa unaotanuka siku hadi siku kila kukicha,unapendeza zaidi tofauti na siku za nyuma.Pichani muendesha baiskeli akijiendeshea baiskeli yake taratibu huku mkononi akiwa ameshikilia bidhaa yake aliyotoka kununua sokoni,hapo ni karibu na stedi ya mabasi KANYENYE kwa waliowahi kufika Tabora watakuwa wanapajua sehemu hii.