Katika kile kuita kuboresha picha ipendeze basi hapa Steven Kanumba na mdada Shaz Sadry wakiwa wanatelemka katika mfano wa mlima Kilimanjaro,hii ni moja kati ya picha wanazoendea kuchukua katika filamu mpya itakayotoka hivi karibuni itakayojulikana kwa jina la THE SHOCK.