Enzi zangu sikuwahi kabisaa kushika hata kijitambaa cha Bendera ya nchi yangu,ila kwa sasa mambo ni kinyume mpaka rahaa,Mungu jaalia Umoja na Amani yetu Idumu milele na kwa yeyote atakayethubutu kutaka kuvuruga Amani kwa makusudi ashuhulikiwe ipasavyo ili iwe mfano kwa wingine.