Mambo ya nyumbani bwanaa..!!Yani ni raha sana,Ebu ona huyu mwanafunzi yani anasubiri chenji yake baada ya mwenye kumiliki genge kutokuwa na chenji.Desturi yetu sisi watu wa Tanzania ni kuaminiana hata kama hatujuani,na huu msingi ulijengwa toka enzi za mababu na mabibi zetu.