Mwanadada ambaye hakutambuliwa jina lake akiwa amekufa baada ya kuburutwa na gari mpaka kufa jijini Dar es salaam maeneo ya Kijitonyama.
Mwili wa dada huyo uliburutwa na gari tokea maeneo ya Bamaga mpaka stendi ya gari ya Kijitonyama na gari lililokuwa likimburuta lilikuwa mwendo kasi sana na halikuweza kusimama,mwenye ndugu ambaye hakurudi nyumbani jana usiku akaripoti kituo chochote cha polisi.