Sina kumbukumbu kwa upande wangu katika picha zoote za mzee wangu za zamani kama kuna picha hata moja niliyoona amevalia hivii,wazee wa zamani nao walikuwa na vituko vyao ila hapa Break.