Wanajeshi waliokamilika wakikimbilia watuhumiwa wa madawa ya kulevya na silaha kali za maangamizi.
Wanajeshi wenye helcopter ya kijeshi wakiwa wameizingiza helcopter ya polisi iliyokuwa ikiwasindikiza washukiwa wa madawa ya kulevya.
 Washukiwa sita waliotiwa mbaroni na kikosi maalumu cha kupambana na uhalifu nchini Kenya wakiwa wamewafunga pingu chini ya ulinzi mkali sana ili wasichoropoke uwanjani hapo.washukiwa hao walikutwa na madawa ya kulenvya yenye thamani ya milioni 500 na silaha kali za maangamizi.
Silaha walizokutwa nazo watuhumiwa hao,duuh kwa kweli hii ni hali ya hatari sana hasa ukiangalia sura zao wala huwezi kuamini kama ni wao wanaweza kuwa majitu ya ajabu duniani.
Ukiangalia harakaharaka unaweza kusema ni mifuko ya sukari aua ngano,kumbe ni balaa tupu jamani.yani hapo ni full madawa ya kulevya.