Hawa ni marehemu waliokufa kwenye ajali hiyo na mwili wa tatu ndio Issa Kijoti aliyekuwa mwimbaji mzuri kabisa katika bendi hiyo ya Five Star Mordem Taarabu
Waliofariki katika ajali ya Bendi ya Five Star ni pamoja na 
Issa Kijoti, Omar Tolu, Haji Babu, Sheba Juma, Omar Hashim, Tizo Mgunga, Hamisa Mipango, Husna Mapande, Samir Maulid, hasan Ngereza, Rama Kinyoya, Nasoro Madenge na mcheza shoo wakitu tigo mmoja.