Babu akiendeleza dozi ya kikombe kwa Muheshimiwa Waziri wa nchi Ofisi ya Waziri Mkuu William Lukuvi na pembeni ya Muheshimiwa Lukuvi ni Binti Mkubwa wa hayati Mwalimu Nyerere ni Rosemary Nyerere nae akipata dozi ya kikombe ili wapone maradhi yao.Je unataka kujua waheshimiwa hao wansumbuliwa na ugonjwa gani?Tulia hapohapo nitakupasha.